Hoja ya kutokuwa na imani na Naibu wa Rais Rigathi Gachagua yawasilishwa seneti

  • | Citizen TV
    9,957 views

    Hoja ya kutokuwa na imani na Naibu Rais Rigathi Gachagua imewasilishwa katika bunge la seneti. Seneta wa Tana River Danson Mungatana amewasilisha hoja hiyo inayoangazia matamshi na mienendo ya gachagua, haswa akilaumu matamshi anayosema ni ya kikabila na ya kugawanya wakenya.