Viongozi wa kikristo wapinga mswada wa kuwadhibiti

  • | Citizen TV
    540 views

    Viongozi wa kikristo kaunti za Nairobi na Nakuru wamepinga mswada wa kudhibiti makanisa uliopendekezwa na seneta wa Tana River Danson Mungatana. Kulingana na viongozi hao, vipengee vingi kwenye mswada huo vitawakandamiza miongoni mwa pendekezo kuwa makanisa yalipe ushuru.