Wahadhili zaidi ya 20 wakamatwa wakati wa maandamano Nairobi

  • | Citizen TV
    856 views

    Zaidi ya wahadhiri na wafanyikazi 20 wa vyuo vikuu vya umma nchini walikamatwa leo wakati wa maandamano jijini Nairobi. Polisi walitumia vitoa machozi kuwatawanya wahadhiri hao waliopanga kuwasilisha waraka wa malalamishi yao bungeni na wizara kadhaa za serikali.