Wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu waandamana

  • | KBC Video
    16 views

    Wahadhiri wanaogoma wameshtumu maafisa wa polisi kwa kutumia nguvu kupita kiasi kuwatawanya waandamaji wakati wa mgomo wao ambao wanasisitiza ni halali. Kupitia chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu-UASU na kile cha wafanyakazi wa vyuo vikuu humu nchini-KUSU, viongozi hao walisema inasikitisha kwamba wafanyakazi-20 wa vyuo vikuu wametiwa nguvuni, na wengine zaidi kujeruhiwa walipokuwa wakijaribu kuwasilisha malalamishi yao kwa idara husika jinsi inavyopendekezwa na katiba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive