Biashara I Wizara ya kilimo kuanza kutoa huduma zake kidijitali

  • | KBC Video
    23 views

    Wizara ya kilimo inanuia kuanza kutoa huduma zake kidijitali ifikapo mwisho wa mwezi juni mwaka ujao ili kuimarisha huduma.Waziri wa kilimo Andrew Karanja huduma za kidijitali zitasaidia kuimarisha ufadhili, huduma za nyanjani na mipango ya kufidia gharama za uzalishaji wa kilimo. Kwa habari hizi na zingine huu hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive