Hoja ya kujadili mienendo ya naibu Gachagua yawasilishwa katika bunge la seneti

  • | K24 Video
    10 views

    Hoja ya kujadili mienendo ya naibu Rais Rigathi Gachagua imewasilishwa katika bunge la seneti na seneta wa Tana River Danson Mungatana. Mienendo ya Gachagua inatarajiwa kujadiliwa iwapo spika wa seneti amason kingi ataidhinisha hoja ya Mungatana. Sasa seneta huyo anataka vilevile nafasi ya naibu rais kufutiliwa mbali.