Wakazi wengi wa kaunti ya Samburu wanahangaika

  • | Citizen TV
    136 views

    Gavana wa Samburu Jonathan Lati, ametoa changamoto kwa mashirika yasiyokuwa ya serikali, kupiga jeki juhudi za serikali ya kaunti hiyo kuwaletea wafugaji maji ya kutosha. Mwanahabari wetu bonface barasa anaarifu zaidi.