Walemavu wa kusikia waeleza masaibu yao Homa Bay

  • | Citizen TV
    188 views

    Huku ulimwengu ukiendelea kuadhimisha mwezi wa uhamasisho kwa wasio na uwezo wa kusikia, waathiriwa hawa wanaelezea madhila wanayopitia katika shuguli zao za kujikimu kimaisha.