Hisia mseto zaghubika mjadala dhidi ya Gachagua

  • | KBC Video
    243 views

    Hoja ya kutokuwa na imani na utendakazi wa Naibu Rais Rigathi Gachagua na mipango ya kumuondoa madarakani, ni suala ambalo limevutia hisia mseto miongoni mwa raia, mashirika ya kijamii, kidini na viongozi wa kisiasa. Baadhi ya viongozi wa kidini wameonya kwamba mdahalo huo wa kisiasa unatishia usalama wa nchi huku chama cha Jubilee kikupuuzilia mbali pendekezo la hoja hiyo na kuitaja kama mkakati wa kisiasa wa kuwapotosha wakenya kutokana na masuala muhimu yanayolikabili taifa kama vile ufisadi na udhalalishaji wa sheria. Ripota wetu John Jacob Kioria ana maelezo zaidi kwenye ulingo wa siasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive