Biashara I Serikali kuzindua maeneo matano maalum ya kiuchumi

  • | KBC Video
    36 views

    Serikali inanuia kuzindua maeneo matano maalum ya kiuchumi katika kaunti za Uasin Gishu, Nakuru, Muranga, Busia na Kirinyaga ,kuimarisha shughuli za kilimo katika kaunti 19 na kuanzisha maeneo ya kiviwanda ifikapo mwezi juni mwaka 2025 ili kuongeza uwekezaji na ustawishaji wa viwanda vya kutayarisha mazao ya kilimo. Naibu mkuu wa wafanyakazi wa Ikulu Eliud Owalo anasema hatua hii itapigwa jeki na sera za sekta ya kilimo cha pamba na nguo..kwa habari hizi na nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive