BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    226 views
    Mtoto wa miaka mitano aliyepanda Mlima Kilimanjaro - Mtoto wa umri wa miaka mitano kutoka Punjab India anafikiriwa kuwa mtu mwenye umri mdogo zaidi kutoka Asia kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika. - Teghbir Singh alipanda mlima huo pamoja na baba yake mwezi Agosti. - Kabla ya kupanda mlima huo walijiandaa kwa kufaanya programu ngumu ya mazoezi ya viungo. - Hapa wanaelezea safari hiyo ilivyokuwa - - - #bbcswahili #tanzania #india #mlimakilimanjaro #utalii Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw