Serikali kuwasajili watu 12m kwenye mpango mpya wa afya wa SHIF kufikia mwisho wa mwezi

  • | Citizen TV
    96 views

    Wazee wa mtaa, machifu na maafisa wa usimamizi watatumiwa kufanikisha mpango wa usajili huku bima mpya ya SHIF ikipangiwa kuanza rasmi mwezi wa oktoba. Serikali inasema wananchi wengi hawana ufahamu kuhusu mpango huo mpya wa bima na hivyo kufikia sasa ni watu milioni 1.6 waliosajiliwa.