Wizara ya ardhi yasema inahitaji bilioni 35 kuhakikisha kuwa data kuhusu ardhi inapatikana mtandao

  • | Citizen TV
    232 views

    Wizara ya ardhi imesema kuwa inahitaji shilingi bilioni 35 ili kuhakikisha kuwa data kuhusu ardhi nchini inapatikana kupitia kwenye mtandao. waziri wa ardhi Alice Wahome amesema kuwa kufikia sasa, habari zote kuhusu ardhi katika kaunti za Nairobi na Murang’a zinapatikana kwenye mtandao.