Idadi ya visa vya ukeketaji yapungua Narok

  • | NTV Video
    32 views

    Kuna matumaini katika vita dhidi ya ukeketaji Narok baada ya wadau kadhaa na makundi tofauti ya vijana wakishirikiana Amref kuandaa kikao cha mafunzo ya siku moja katika eneo la Suswa ili kujadili njia zaidi za kukomesha uketaji kabisa katika kaunti hiyo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya