Watetezi wa haki za binadamu wataka kubuniwe jopo la kuchunguza vifo wakati wa maandamano

  • | K24 Video
    37 views

    Watu 61 walipoteza maisha yao wakati wa maandamano ya Gen Z huku wengine 27 wakiwa haajulikani waliko hadi kufikia sasa. Hii ni kulingana na taarifa kutoka kwa makundi ya watetezi wa haki za binadamu ambao sasa wanaitaka serikali ilipe fidia familia za waathiriwa. Watetezi wa haki za binadamu wanataka kubuniwe jopo la kuchunguza vifo vilivyotokana na polisi kutumia nguvu kupita kiasi