Washukiwa wa ulawiti wa mwanablogu Mombasa washtakiwa

  • | Citizen TV
    769 views

    Washukiwa wanne wanaotuhumiwa kupanga njama ya kumteka nyara Na kumlawiti mwanablogu mmoja kaunti ya Mombasa watasalia korokoroni hadi Oktober 14 wakati hakimu wa mahakama ya shanzu Robert Mbogo atakapotoa uamuzi wa iwapo wataachiliwa kwa dhamana au la.