Wazazi eneo la Kapseret waandamana kupinga adhabu ya wanafunzi

  • | Citizen TV
    180 views

    Wazazi na wanafunzi wa shule ya upili ya AIC Songoliet katika eneo la Kapseret kaunti ya Uasin Gishu waliandamana kukashifu dhulma dhidi ya watano shuleni humo.