Filamu inayolenga kutoa hamasa kwa jamii kuhusu athari za ukeketaji yazinduliwa

  • | Citizen TV
    82 views

    Kampeni dhidi ya ukeketaji imepigwa jeki huku ubalozi wa Uingereza nchini ukifanikisha kuzinduliwa kwa filamu inayolenga kueneza hamasa miongoni mwa jamii ya wamaa.