Wadau wataka madaktari zaidi wa wanyama kuajiriwa

  • | Citizen TV
    55 views

    Serikali za kaunti zimetakiwa kuwaajiri madaktari zaidi wa mifugo ili kukabili magonjwa mengi ya binadamu yanayosababishwa na wanyama.Akizungumza kwenye kongamano la vyama vya madaktari wa wanyama na wale wa binadumu huko Kwale, mwenyekiti wa chama cha madaktari wa wanyama Kelvin Osore amesema kuna idadi ndogo sana ya madaktari wa wanyama walioajiriwa na serikali za kaunti jambo linalolemaza juhudi za serikali kukabili magojwa kama ya kichaa cha umbwa.