Gavana Sakaja ainunua klabu ya Nairobi United FC

  • | TV 47
    47 views

    Timu ya soka inayoshiriki kwenye divisheni ya pili nchini, Nairobi United Fc, imenunuliwa na gavana wa Nairobi Johnson Sakaja.Klabu hii inayocheza katika ligi ya nsl sasa itapata sura mpya. Baadhi ya mabadiliko yanayotarajiwa ni usajili wa wachezaji, makocha na mameneja wapya, kando na kupokea vifaa vipya vya kufanya mazoezi. Pia sakaja ana mipango ya kuzindua uwanja wa kufanyia mazoezi kwa timu hii. Mazungumzo na mdhamini wa jezi ya timu hii yanaendelea kwa sasa na atazinduliwa hivi karibuni. Sakaja alisema kuwa ataendelea kuinua hadhi ya michezo hapa jijini kwa kujenga na kukarabati viwanja kama vile Dandora, Woodley na kihumbuini. Hafla hii ilifanyika leo mchana katika ofisi rasmi ya Gavana wa Nairobi. Dimba la soka la sakaja super cup litaanza mwezi ujao. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __