Mercy Tarus ajipata mashakani kutokana na matamshi yake katika mitandao ya kijamii

  • | NTV Video
    7,900 views

    Mercy Tarus mmoja wa walalamishi kwenye kesi ya sakata ya elimu ya Finland amejipata mashakani baada ya mahakama ya Nakuru kumpata na hatia ya kuidhihaki kesi hiyo kutokana na matamshi yake katika mitandao yake ya kijamii na hata kwa vyombo vya habari kuhusu wahusika wa kesi hii mmoja wa washukiwa akiwa ni seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya