Wakazi wa eneo la kitubo, eneo bunge la kwanza kaunti ya Trans Nzoia walalamikia hali duni ya shule

  • | NTV Video
    122 views

    Wakazi wa eneo la kitubo ,eneo bunge la kwanza kaunti ya Trans Nzoia wamelalamikia hali duni ya shule ya kitubo katika eneo hilo, wanafunzi wakiathirika zaidi kutokana na mafuriko ambayo yamemeza shule hiyo na kuhatarisha maisha ya wanafunzi

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya