Mama Rachel ahimiza usawa katika elimu na uwezo wa kiuchumi

  • | KBC Video
    20 views

    Mama wa taifa Rachel Ruto amewahimiza wake wenzake wa marais barani Afrika waharakishe juhudi za kuleta usawa wa kijinsia katika nchi zao ili kuhakikisha kwamba wanawake na wasichana wanapata fursa sawa katika elimu na uwezo wa kiuchumi. Mama wa taifa alitambuliwa na shirika la wake wa marais barani Afrika kuhusu maendeleo kutokana na juhudi zake za kuleta usawa wa kijinsia, kuwapa wanawake uwezo kupitia mpango wa makundi ya kuchangisha pesa na jukumu lake kuu katika kampeni ya “sote tuko sawa”.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive