Idara ya upelelezi yaagizwa kutoa ripoti kuhusu kutoweka kwa mwakilishi wadi wa Dela

  • | KBC Video
    138 views

    Mahakama kuu imeagiza idara ya upelelezi wa jinai kuwasilisha ripoti ya kina kuhusu kutoweka kwa mwakilishi wadi wa Dela Yussuf Hussein tarehe 4 mwezi Oktoba mwaka huu. Jaji Alexander Muteti alisema masuala ya haki za binadamu yanafaa kuzingatiwa na kuagiza polisi kuharakisha shughuli hiyo kwa kutumia mbinu zote zilizopo. Yusuf alitekwa nyara mnamo tarehe 13 mwezi Septemba katika barabara ya Enterprise jijini Nairobi alipokuwa kwenye teksi.Taarifa kamili ni kwenye mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive