Serikali yajitahidi kusajili Wakenya zaidi kwenye halmashauri ya SHA

  • | KBC Video
    6 views

    Utata unaozingira utekelezaji wa hamashauri ya afya ya kijamii, SHA umeendelea kukithiri huku serikali ikijitahidi kuwasajili wakenya zaidi. Hata hivyo imeibuka kwamba baadhi ya wakenya bado hawajafahamu ni kwa nini wanafaa kujisajili upya ilhali maelezo yao yako kwenye hazina ya bima ya kitaifa ya afya. Ilhali baadhi wanaunga mkono mpango huo utakaoanza kutekelezwa katika muda wa siku tatu zijazo pamoja na viwango mbalimbali vya huduma baadhi wanaonelea kwamba bima ya NHIF ingeimarishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive