Gachagua asema wabunge wanahongwa na mamilioni ya pesa ili kumngatua ofisini

  • | Citizen TV
    5,620 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua Sasa Anasema Kuwa Wabunge Wanahongwa Na Mamilioni Ya Pesa Ili Kumngatua Ofisini. Akizungumza Katika Eneo Bunge La Mwea Kaunti Ya Kirinyaga, Gachagua Amesema Kuwa Ana Ushahidi Kuwa Hata Wabunge Wanaomuunga Mkono Wanaandamwa Na Hongo Ili Kuunga Mkono Hoja Hiyo.