Viongozi wa dini washinikiza kuondolewa kwa mswada wa kudhibiti mashirika ya kidini

  • | KBC Video
    13 views

    Viongozi wa kidini wameendelea kutoa maoni yao dhidi ya mswada wa kudhibiti mashirika ya kidini wakisema utapunguza mafanikio yaliyoafikiwa katika ulinzi wa uhuru wa kuabudu. Makasisi wakizungumza kwenye hafla tofauti katika kaunti za Trans Nzoia na Homa bay wamesema mswada huo haufai kupitishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive