Kampeni ya upanzi miti msitu wa Kodero yazinduliwa

  • | KBC Video
    8 views

    Shirika lisilo la serikali katika kaunti ya Homa Bay limeanzisha mpango wa siku mbili wa upanzi wa miti katika msitu wa Kodera. Kufuatia mpango huo ulioanzishwa na wakfu wa Seth Ogello zaidi ya miche 10,000 ya miti inanuiwa kupandwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive