Kero la Ufisadi I Wakenya wahimizwa kuwaajibisha viongozi

  • | KBC Video
    10 views

    Ushawishi wa kisiasa na washukiwa wa ufisadi kukosa kushtakiwa umetajwa kuwa sababu kuu zinazotatiza kutokomezwa kwa ufisadi humu nchini. Wakati wa mkutano wa mwaka 2024 kuhusu uadilifu ulioandaliwa jijini Nairobi,shirika la Transparency International na wadau wengine wakiongozwa na mkurugenzi mkuu wa kituo cha demokrasia ya vyama mbali mbali Franklin Mukwanja waliwataka wakenya wahimize viongozi wao kuwajibika na kukomesha ufisadi katika jamii.Tilio Marko anatuletea taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive