Chama cha UDA kimeweka wazi kuwepo kwa mpago wa kumtimua naibu rais Rigathi Gachagua

  • | K24 Video
    140 views

    Chama cha UDA kimeweka wazi kuwepo kwa mpaNgo wa kumtimua naibu rais Rigathi Gachagua kama naibu kinara wa chama hicho Pindi bunge litakapopitisha hoja ya kumng'atua wiki ijayo. Kaimu katibu mkuu wa chama hicho Hassan Omar amesema wanafuatilia kwa karibu hoja hiyo ambayo anadai inaungwa mo sio tu na viongozi wa chama cha UDA bali pia viongozi wa vyama mbalimbali vya kisiasa nchini.