Waziri wa ardhi Mombasa Mohammed Hussein alikamatwa na kisha kuachiliwa

  • | Citizen TV
    675 views

    Waziri wa ardhi kaunti ya Mombasa Mohammed Hussein alikamatwa na maafisa wa usalama na kisha kuachiliwa, kwenye kesi inayohusu kulawitiwa kwa mwanablogu mmoja mjini humo. Waziri huyu anayetuhumiwa kuhusika na njama ya ulawiti amewachiliwa kwa dhamana huku mashirika ya haki yakishutumu tukio hilo ambalo sasa gavana Abdulswamid Nassir amesema linamlenga kisiasa