Serikali yasitisha ujenzi wa bwawa la Thwake Makueni

  • | Citizen TV
    749 views

    Serikali kwa mara nyengine imeahirisha ujenzi wa mradi wa bwawa la maji la Thwake huko kaunti ya Makueni hadi mwaka ujao kwa sababu ya uhaba wa pesa. Na kama anavyoripoti Michael Mutinda ujenzi wa bwawa hilo ulisitishwa miezi miwili iliyopita .