Timu hewa kadhaa zaondolewa Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    156 views

    Maafisa wa shirikisho la kandanda FKF tawi la Trans Nzoia, wanaitaka idara ya DCI kuanzishisha uchunguzi wa kuwanasa waliojumuisha timu hewa kwenye orodha ya timu zitakazoshiriki kwenye uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo.