Timu 780 zitashiriki awamu ya mwaka huu ya Sakaja Super Cup

  • | Citizen TV
    80 views

    Usajiliwa awamu ya pili ya mchuano wa gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja umeanza rasmi leo huku mchuano huo ukilenga kujumlisha timu 780 kutoka 340 za mwaka jana. Wachezaji watakaoshamiri watasajiliwa kujiunga na timu ya Nairobi United