Wakaazi wa Laikipia Kaskazini waandamana wakilalamikia barabara mbovu ya Nanyuki-Rumuruti

  • | NTV Video
    24 views

    Shughuli za usafiri katika barabara ya Nanyuki –Rumuruti zilitatizika Jumatatu, baada ya wakazi wa Laikipia Kaskazini kufanya maandamano ya kufunga barabara hiyo waliyolalamikia kuharibiwa wakati wa mvua baada ya viongozi katika eneo hilo kushindwa kuiboresha kwa kuweka lami.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya