Msikiti wa Al Hudaa South B watoa huduma za bure za matibabu

  • | KBC Video
    12 views

    Viongozi wa kidini katika kaunti ya Nairobi waliandaa shughuli ya utoaji huduma za matbabu kwa jamii bila malipo. Huduma hizo zilizotolewa kwa hisani ya wasimamizi wa msikiti wa Al Hudaa ulioko katika mtaa wa South B jijini Nairobi ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa kuzaliwa kwa Mtume Muhammad.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive