Milly Odhiambo amezindua kitabu chake 'rig or be rigged'

  • | Citizen TV
    571 views

    Viongozi wa kina mama sasa wanataka nafasi zaidi za uongozi wakitaja idadi yao serikali kuwa ndogo. Katika uzinduzi wa kitabu cha kiongozi wa wachache bungeni milly odhiambo, viongozi hao wamewataka wawaniaji wa kike wengi wajitokeze kuwania viti tofauti vya bunge.