Wauguzi kaunti ya Nandi wametoa ilani ya kuanza mgomo

  • | Citizen TV
    50 views

    Siku moja baada ya madaktari kaunti ya Nandi kufanya maandamano kushinikiza serikali kuwalipa mishara yao, kundi la wauguzi na wafanyikazi wengine kaunti hiyo sasa limetoa ilani ya siku saba kwa serikali ya kaunti ya Nandi kabla ya kusambaratisha shughuli za matibabu.