Vijana 26 wanaohusishwa na uhalifu wamekamatwa Diani

  • | Citizen TV
    526 views

    Polisi mjini Diani kaunti ya Kwale wamewakamata vijana 26 wa makundi ya uhalifu ya vijana wadogo wanaohangaisha wakaazi eneo hilo kwa kuwavamia kwa mapanga.