Baadhi ya wananchi Tana River wameishi kwa hofu kambini

  • | Citizen TV
    59 views

    Katika juhudi za kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na kuongezeka kwa vitendo vya ukeketaji na ukatili wa kijinsia kaunti ya Tana River, mashirika ya Brighter society initiative pamoja na UNICEF yameandaa kampeni ya kuhamasisha wananchi katika kaunti hiyo.