Mashine ya kwanza ya tiba ya mionzi (radiotherapy) Malawi

  • | BBC Swahili
    0 views
    Hivi karibuni Malawi ilipokea mashine zake za kwanza za matibabu ya mionzi, miaka 60 baada ya uhuru. Hapo awali wagonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi walilazimika kutafuta matibabu katika nchi za mbali kama vile Kenya, na kusababisha changamoto katika vita dhidi ya ugonjwa huo. Maendeleo haya mapya katika sekta ya afya nchini humo sasa yanaleta matumaini mapya kwa maelfu ya wagonjwa ambao hawawezi kumudu kutafuta matibabu nje ya nchi. #bbcswahili #malawi #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw