Makumi wafariki baada ya boti kuzama katika Ziwa Kivu

  • | BBC Swahili
    483 views
    Boti iliyokuwa ikisafirisha abiria katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imepinduka ikikaribia kutia nanga mita mia chache kutoka bandari ya Kituku karibu na mji wa Goma mashariki mwa nchi hiyo. - Shughuli za uokoaji zinaendelea na haijulikani ni watu wangapi walikuwa kwenye boti hiyo. #bbcswahili #DRC #ajaliyaboti See less Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw