Tunaangazia hali ya kupooza kwa ubongo kwa watoto

  • | Citizen TV
    354 views

    Matatizo ya kupooza kwa ubongo miongoni mwa watoto yameonekana kuongeza siku za punde huku madaktari wakieleza sababu kadhaa zinazosababisha ugonjwa huu. Daktari Kimani Kanguruiya anatujuza mengi kuhusiana na ugonjwa huu kwenye makala ya Siha na Maumbile juma hili