Kesi ya Baby Pendo imeahirishwa kwa mara nyingine katika mahakama kuu

  • | Citizen TV
    455 views

    Kwa mara nyingine tena, kesi kuhusiana na kushtakiwa kwa maafisa wa polisi 11 wanaohusishwa na mauaji ya Baby Samantha Pendo wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 imeairishwa