Naibu Rais Gachagua apata pigo na kesi ya kupinga vikao kesho

  • | Citizen TV
    9,746 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amepata pigo baada ya mahakama kuu kudinda kusimamisha vikao vya umma vya kutoa maoni kuhusu hoja ya kutimuliwa kwake vinavyofanyika hapo kesho. Haya yamejiri mahakamani huku mwakilishi wa kike wa kaunti ya Kirinyaga Jane Njeri akijitetea dhidi ya tuhuma za kupanga njama ya kutatiza shughuli ya kutoa maoni mjini Kerugoya