Mahakama yasitisha utekelezaji wa mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu

  • | KBC Video
    18 views

    Mahakama kuu imesimamisha kwa muda utekelezaji wa muundo mpya wa ufadhili wa elimu ya vyuo vikuu. Hii ni baada ya tume ya haki za kibinadamu humu nchini na walalamishi wengine watatu kuwasilisha rufaa ya kupinga muundo huo kwa madai kwamba unabagua na hauzingatii katiba. Jaji Chacha Mwita alizuia wizara ya elimu, vyuo vya umma na mashirika mbalimbali ya serikali kutekeleza muundo huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive