Naibu rais awasilisha rufaa mahakamani kupinga hoja ya kumuondoa mamlakani

  • | KBC Video
    244 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amewasilisha kesi katika mahakama kuu akitaka kusitisha hoja ya kung’atuliwa kwake. Katika rufaa ya kurasa 144 Gachagua anakosoa misingi iliyotajwa katika hoja ya kumtimua akidai kuwa ni ya udanganyifu na yenye kupotosha. Aidha, anaitaka mahakama kusitisha shughuli ya kushirikisha umma iliyoratibiwa kuandaliwa kesho huku akimshutumu spika wa bunge la kitaifa na naibu wake kwa upendeleo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive