Magavana wakata wizara ya fedha kuanzisha ugatuzi ili kupunguza urasimu wa maafisa wa wizara

  • | NTV Video
    128 views

    Baraza la magavana nchini linaitaka wizara ya fedha kuanzisha kurugenzi mahsusi kwa ugatuzi ili kupunguza urasimu wa maafisa wa wizara ambao wanajishugulisha na ngazi ya serikali kuu zaidi na kupuuza mahitaji ya kaunti. Naibu mwenyekiti wa baraza hilo ambaye pia ni gavana wa Wajir Ahmed Abdulahi alimtaka waziri john Mbadi kuchukulia suala hilo kwa uzito na dharura kubwa. Mbadi amesema serikali imo mbioni kuharakisha mchakato wa kufikisha fedha katika kaunti

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya