Watu wachache wajitokeza kutoa maoni Mlima Kenya kuhusu hoja ya kumbandua Gachagua ofisini

  • | Citizen TV
    2,112 views

    Siku Ya Pili Ya Zoezi La Kukusanya Maoni Eneo La Mlima Kenya Ilikuwa Na Utulivu, Wakaazi Wengi Wakikosa Kufika Kwenye Ofisi Za Wabunge Kutoa Maoni Yao. Katika Kaunti Ya Nyeri, Zoezi Hili Liliendeshwa Chini Ya Ulinzi Mkali Katika Maeneo Bunge Yote Sita, Kufuatia Kisa Cha Jana Cha Maandamano Ya Wakaazi, Walioonekana Kutoridhishwa Na Taratibu Za Zoezi Hili.