Wizara ya Elimu yakata rufaa kuhusu maamuzi ya mahamaka kuhusu mfumo wa ufadhili vyuoni

  • | TV 47
    12 views

    Baada ya mahakama kuu kusitisha mfumo mpya wa ufadhili wa elimu katika vyuo vikuu sasa wizara ya elimu imetangaza kuwasilisha kesi kortini ya kukata rufaa maamuzi hayo. Akizungumza na wana habari waziri julius migosi amefichua kuwa maamuzi haya yataleta mkanganyiko kwenye mchakato huo wa kutoa fedha kwa wanafunzi. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __